NCHI IMEENDELEA KUJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 128-MAJALIWA
*Utoshekevu huo umetokana na ongezeko la matumizi ya mbolea ya ruzuku *Mbolea ya ruzuku ya Sh Bilioni 131 ilisambazwa kwa wakulima katika mwaka 2024/2025…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
*Utoshekevu huo umetokana na ongezeko la matumizi ya mbolea ya ruzuku *Mbolea ya ruzuku ya Sh Bilioni 131 ilisambazwa kwa wakulima katika mwaka 2024/2025…
*Nguvu sasa kuelekezwa kwenye vitongoji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema tangu Novemba, 2020 hadi Februari, 2025 Serikali imeunganisha umeme katika vijiji 4,071 kwa gharama…
WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kiwanda Cha Magodoro ya Dodoma Asili Bw.Prashant Bhavsar wakati wa ziara yake katika…
Na WMJJWM- Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu ameitaka jamii kubadilika na kuachana…
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Kusogezwa kwa huduma ya upasuaji katika Hospitali ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani itaondoa kero ya wananchi ya kusafiri umbali…
Na Mwandishi wetu, Mirerani MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga amewataka wachimbaji na wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite kuiga mambo…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)…
Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyoambukiza, Afya na Akili wa Wizara ya Afya, Dk Omary Ubugoyu akizungumza jambo katika Kongamano la Kitafiti linalozungumzia ugonjwa wa usonji…
Na. Lusungu Helela – Dodoma. Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amewataka Wajumbe wa…
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza wakati akizindua Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla…