JAJI MKUU: MLUNDIKANO WA MASHAURI TAYARI NI TATIZO KATIKA MAHAKAMA YA RUFANI
DAR ES SALAAM, Aprili 2025 Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma, amesema kuwa mlundikano wa mashauri katika Mahakama ya Rufani ni changamoto kubwa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DAR ES SALAAM, Aprili 2025 Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma, amesema kuwa mlundikano wa mashauri katika Mahakama ya Rufani ni changamoto kubwa…
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iliianzisha Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kwa lengo la…
Dodoma. Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi wa…
Azindua Shule ya Sekondari Migungani, awataka wanafunzi kutunza miundombinu Asema Serikali yajipanga kujenga mradi mkubwa wa umeme Monduli Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu…
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kuongeza zaidi bidii katika kazi na kutumia weledi kwa kuzingatia Sheria,…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Aprili 24, 2025 Serikali wilayani Kibaha, mkoani Pwani, imeeleza dhamira yake ya dhati ya kuunga mkono juhudi za wawekezaji katika sekta…
Na. Leah Mabalwe, VIWANDANI Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwl. Zainabu Abdallah amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki mbio za…
Na WMJJWM – Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amesema, jukumu la kuiokoa Jamii…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa pao ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Aprili…
Na. Joseph Mahumi, WF, Washington Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Benki ya…