WANAFUNZI 120 SAME KUELEKEA UMITASHUMTA, NMB YACHANGIA VIFAA KUINUA VIPAJI
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi 120 wa shule za msingi kutoka wilaya hiyo wanaokwenda kushiriki…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi 120 wa shule za msingi kutoka wilaya hiyo wanaokwenda kushiriki…
*Dkt. Biteko awaasa Watanzania kutogawanyika na kuendelea kuwa wamoja *Awapongeza CCT kwa kuendelea kushirikiana *Asema Serikali inathamini mchango wa CCT kwa maendeleo ya Taifa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki Misa Takatifu ya Dominika…
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza washiriki wa mbio za Siku ya Afrika…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paulo Makonda akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha kuhusu mkutano huo unaoanza kesho. ……… Happy Lazaro,Arusha . WAKUU…
Mbunge wa Bumbuli Januari Makamba akisalimiana na Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki wakati wa mjadala wa pamoja na wadau mbalimbali kuhusu…
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi 120 wa shule za msingi kutoka wilaya hiyo wanaokwenda…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maonesho ya Kimataifa ya Osaka( World EXPO OSAKA 2025) nchini Japan, Mei…
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Chuo kikuu cha Dodoma Bi. Rose Joseph akikata keki kama ishara ya Uzinduzi wa Taasisi ya UDOPRESA kutoka kulia…
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akizindua mradi wa Maji Malamba utakaowanufaisha Wananchi zaidi ya 2,463 wa Vijiji vya Malamba na Mkuranga Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoa wa Mtwara,kulia Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya. Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Malamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara,wakisubiri kupokea Mwenge wa Uhuru katika Kijiji hicho kwa ajili ya kuzindua mradi wa Maji. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akiangalia mchoro wa mradi wa maji Malamba Halmashauri ya Nanyamba Mkoa wa Mtwara kabla ya kutembelea na kuzindua mradi huo utakaowanufaisha zaidi ya Wananchi 2,463 wa Kijiji cha Malamba na Mkuranga,kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya na kulia aliyeshika fimbo Meneja wa Ruwasa Hamis Mashindike. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akifungua koki baada ya kuzindua mradi wa Maji Malamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara uliotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(Ruwasa)Wilaya ya Mtwara ambao utahudumia zaidi ya Wananchi 2,463 wa Vijiji vya Malamba na Mkuranga,ushoto Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya. Muonekano wa vituo vya kuchotea maji vilivyojengwa kupitia Mradi wa Maji Malamba ambavyo vitanatoa huduma ya maji kwa Wananchi wa Kijiji cha Malamba. Nyumba ya mashine(Pump House) ………. Na Mwandishi…