BoT YAJA NA KAMPENI YA “ZINDUKA USIUMIZWE, KOPA KWA MAENDELEO”
NA JOHN BUKUKU, DAR ES SALAAM Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kutekeleza Kampeni ya ‘Zinduka, Usiumizwe, Kopa kwa Maendeleo’ ambayo imelenga kutoa elimu…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
NA JOHN BUKUKU, DAR ES SALAAM Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kutekeleza Kampeni ya ‘Zinduka, Usiumizwe, Kopa kwa Maendeleo’ ambayo imelenga kutoa elimu…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. WATEJA waliokuwa wameweka fedha kwenye Benki ambazo zimefilisiwa na Benki Kuu ya Tanzania BoT wametakiwa kwenda kuchukua stahiki…
MAMLAKA ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imeanza kufanya kazi kwa mujibu wa sheria mpya ya manunuzi, ambapo pamoja na mambo mengine inaelekeza…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 09, 2024 amezindua Tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) mkoani Morogoro, ambalo kwa kiasi kikubwa litasaidia…
Tume ya Ushindani (FCC), imeendelea kutumia fursa ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kwa kutoa elimu kwa Umma ambao ndio walaji…
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba (kushoto), akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha Bi. Jenifa Christian Omolo …
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Comoro ikiwa ni dhamira ya benki hiyo…
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo Julai 06, 2024 imetoa elimu ya umuhimu wa kurasimisha biashara kwa wajasiriamali zaidi ya 200…
Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imepongezwa kuendelea kuvisimamia Vyama vya Ushirika na kufanikiwa katika kuhamasisha Ushirika kwenye Sekta mbalimbali na Makundi Maalumu.…
Leo Julai 6, 2024, Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank) imetoa gawio la Shilingi Bilioni Saba (TZS 7 Billion) kwa mwanahisa wake pekee,…