Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WALEZI WA WATOTO KUPIKWA KWA MTAALA MMOJA- KAMISHNA MSAIDIZI MAKONA
Na WMJJWM, DODOMA Serikali ipo mbioni kukamilisha Mwongozo wa Mafunzo wa Malezi ya Watoto wadogo na wachanga ili kuleta uwiano na uelewa unaofanana wa…
KAMATI YA BUNGE KUKAGUA MIRADI MITANO YA OWM-KVAU
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii inatarajia kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mitano inayotekelezwa…
KONGWA YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE KIPINDI CHA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule,akizungumza wakati wa zoezi la kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Halmashauri ya Wilaya…
WATUMISHI WANAWAKE WIZARA YA ELIMU WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KIGWE VIZIWI
Kiongozi wa Msafara wa Watumishi Wanawake wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Bi.Sylvia Lupembe,akimkabidhi Keki Mkuu wa Shule Kigwe Viziwi Thadei Mhwagila kwa ajili…
WANANCHI WA KIJIJI CHA MASUNGO WILAYANI KILOSA WAIOMBA SERIKALI KUMALIZIA UJENZI WA ZAHANATI WALIOIANZISHA.
NA FARIDA MANGUBE KILOSA MOROGORO. Wakazi wa kijiji cha Masungo Kata ya Mtumbatu wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, wanakabiliwa na changamoto ya kituo cha…
KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA MUUNDO WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya…
BALOZI KOMBO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMHURI YA MALTA
Balozi wa Tanzania nchini Malta mwenye makazi yake Roma nchini Italia, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya…
MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI YAJIPANGA KUDHIBITI UHALIFU NA AJALI ZA BARABARANI.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa mikoa ya nyanda za juu kusini, Mbeya, Iringa, Njombe,…