KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akiwa katika kikao na Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa (wa Tatu kulia) kilichofika…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akiwa katika kikao na Balozi wa Japan nchini Tanzania Yasushi Misawa (wa Tatu kulia) kilichofika…
Na. Asila Twaha, TAMISEMI Serikali imewataka wauguzi na wakunga kusimamia maadili na miiko ya kazi zao kwa kutoa huduma bora kwa jamii. Kauli hiyo…
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt.Seif Shekalaghe amesema watumishi wote sekta ya afya hususan wauguzi ni watu na taswira…
Na.Elimu ya Afya kwa Umma. Katika utekelezaji wa agizo la Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu la kuhakikisha kuanzisha kampeni ya Hamasa na Elimu kwa…
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),Dk Alphonce Chandika,akizungumza wakati akielezea miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital hiyo leo Machi 13,2023…
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Wizara itaendeleza misingi iliyoachwa na viongozi waliotangulia katika Wizara hiyo ili…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri…
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani Aboubakary Mlawa, amechangia matofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa…