Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SEMENI TENA YANGA SC YALIPA KISASI KWA RIVERS UNITED
Na.Alex Sonna WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Yanga SC wamelipa kisasi baada ya kuwachapa mabao 2-0 wenyeji Rivers United…
MBUNGE KOKA ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI UJENZI OFISI YA BAKWATA KIBAHA
Na Victor Masangu,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka ametekeleza ahadi yake kwa vitendo kwa kuamua kuchangia mifuko 100 ya saruji kwa…
WIZARA YA MAMBO YA NDANI MABINGWA WA BAISKELI KWA WANAWAKE NA WANAUME
Alavuya Mtalima wa Wizara ya Mambo ya Ndani akimaliza wa kwanza katika mbio za baiskeli kilometa 25 kwa wanawake zilizoanzia eneo la Lugono…
MANISPAA SINGIDA YANUNUA MAGARI YA KUZOLEA TAKA
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Jeshi Lupembe (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na madereva wa Manispaa hiyo mbele ya magari ya…
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASALIMIANA NA KUZUNGUMZA NA MASHEIKH WA ZANZIBAR BAADA YA SALA YA EID EL FITRY IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar…
PELEKENI WATOTO KUPATA CHANJO KUWAKINGA NA MAGONJWA;PROF. NAGU
Na. Catherine Sungura, Dodoma Wizara ya Afya inaendelea kuikinga jamii ya Watanzania dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa Chanjo ambayo ni Kifua kikuu, Donda Koo,…
MKE WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA WATOTO
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Kijiji…
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA HUDUMA YA DHARURA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA(HOMSO)
Jengo la wagonjwa wa dharura katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Ruvuma(Homso)lililofunguliwa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023…
DK.MPANGO ATOA WITO KWA WAUMINI NA VIONGOZI WA DINI NCHINI KUWAOMBEA VIONGOZI WA SERIKALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Jumapili katika Nyumba ya Malezi ya Mtakatifu…