Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MKENDA CUP YAHITIMISHWA KWA KISHINDO WILAYANI ROMBO
Mashindano ya Kombe la Mkenda 2023 yamehitimishwa Juni 18, 2023 Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro mshindi akiondoka na Kitita cha Shilingi milioni tatu. Akizungumza mara…
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya…
MHE.KATAMBI AAGIZA MAMENEJA WA MIFUKO KUMALIZA MALALAMIKO YA WASTAAFU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (Mb) akijibu swali Bungeni leo tarehe 19…
KLINIKI ZA SIKOSELI KUANZISHWA KATIKA HOSPITALI ZA WILAYA ZANZIBAR
Wananchi mbalimbali wakipata huduma za kuangalia afya katika maadhimisho ya siku ya sikoseli ambayo huadhimishwa kila ifika juni 19 Duniani kote Huko Skuli ya…
KIKUNDI CHA HAMASA.CHA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO CHA TIA FORA MECHI YA TAIFA STARS NA NIGER
NA Eleuteri Mangi Kikundi cha hamasa cha Wizara. ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kimetia fora na kugeuka kivutio wakati wa mechi ya Taifa Stars…
SERIKALI INAWEZESHA WADAU WA MICHEZO KUZALISHA VIPAJI
Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali inawawezesha wadau kuwekeza kwenye uzalishaji wa vipaji vya michezo hasa mpira wa miguu kwa kufanya jitihada mbalimbali ikiwemo kuweka…
WANAWAKE MANYARA WAMPONGEZA MBUNGE REGINA NDEGE KWA KUWAPELEKA BUNGENI
Na Mwandishi wetu, Babati BAADHI ya Madiwani wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara wamemshukuru na kumpongeza Mbunge wa viti maaluma wa mkoa huo…
WANANCHI WATAKIWA KUTAO USHIRIKIANO KWA MWEKEZAJI JIMBO LA MTAMA
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Kijiji cha Namangale katika Halmashauri ya Mji wa Mtama Mkoani Lindi kutoa ushirikiano kwa mwekezaji…
WAZIRI UMMY ASIKIA KILIO CHA AJIRA ZA WATAALAMU WA MAABARA
NA WAF- DODOMA. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Afya kufanya uchambuzi wa kina kwenye kada za Afya kuanzia…