Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA 14 WAPIGWA MSASA
Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata kutoka Halmashauri sita za Tanzania Bara wapo katika mafunzo ya usimamizi wa Uchaguzi…
WATANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA ZA AJIRA NCHINI OMAN
Na.Mwandishi Wetu Watanzania Wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Oman baada ya kuhitimishwa kwa majadiliano ya makubaliano ya uwili wa kushirikiana katika…
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KIWANDA CHA A TO Z KWA KUZINGATIA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI
Na Mwandishi wetu, Arusha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imekipongeza kiwanda cha A to Z Textills Mills…
SERIKALI YAONYA WAAJIRI WASIOWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KWA WAKATI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Patrobas Katambi, ameagiza, akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 20,2023 jijini…
DK.GWAJIMA AWATUNUKU CHETI CHA HESHIMA SMAUJATA MKOA WA SINGIDA, ASKARI MWASISI WA ‘DON’T TOUCH’ AWA KIVUTIO
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu, Dk.Dorothy Gwajima (katikati) akiwakabidhi cheti cha heshima viongozi wa Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa…
MTATURU APAZA SAUTI YA WAFUGAJI BUNGENI
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,wakati akiuliza swali la nyongeza bungeni jijini Dodoma katika swali la msingi alilouliza kwa niaba ya Mbunge wa Kondoa…
RC KUNENGE AMEIAGIZA HALMASHAURI YA RUFIJI KUANDAA MIPANGO KWA KUZINGATIA VIPAOMBELE
Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ,kuandaa mipango na bajeti kwa kuzingatia vipaombele vinavyolenga…
WATU 471,903 SAWA NA ASILIMIA 2.9 WAONGEZEKA MKOANI RUVUMA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI
Baadhi ya watendaji wa mitaa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakimsikiliza Mkuu wa mkoa huo Kanal Laban Thomas(hayupo pichani) wakati akifungua Semina…
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuukumbusha umma kwamba Serikali ilishatoa Tamko kuhusu katazo la matumizi ya fedha za kigeni kwa wakaazi wa Jamhuri ya …