AIDAN MLAWA AJITOSA KUCHUKUA FOMU JIMBO LA KILOLO
NA DENIS MLOWE IRINGA MDAU wa Maendeleo Aidan Damian Mlawa leo amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kilolo kupitia Chama Cha Mapinduzi…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
NA DENIS MLOWE IRINGA MDAU wa Maendeleo Aidan Damian Mlawa leo amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kilolo kupitia Chama Cha Mapinduzi…
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe Dkt.Jafo amerejesha fomu hiyo …
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba, akiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba…
Mbunge wa Singida Mashariki,Miraji Mtaturu amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia jimbo la Ikungi Mashariki.…
Mbunge wa Jimbo la Solwa Mkoani Shinyanga Mhe. Ahmed Ally Salum akionesha Fomu baada ya kuchukua Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge…
MWENYEKITI wa Kamati ya Huduma ya Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala,Godwin Mkanwa,akizungumza leo Juni 28,2025 Jijini Dodoma wakati…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Mstaafu Evariste Ndayishimiye,wakipiga makofi…
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jackline Isaro akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Udiwani katika Kata ya Ngokolo Jimbo la Shinyanga…
Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM)…
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, leo Juni 28, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa…