Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SERIKALI YATOA BILION 5.7 UJENZI WA MAABARA NA JENGO LA UPASUAJI – SIMIYU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu akisaini kitabu cha wageni baada ya kumaliza ziara yake ya kukagua…
Waziri Bashungwa Azindua Ligi ya Mpira wa Miguu Karagwe
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Kushoto) akifurahia jambo na Mkuu wa Wilaya Karagwe Mhe.Godgrey Mhehuka katikati ni Katibu wa CCM wilaya ya…
UMASKINI NI KIKWAZO VITA DHIDI YA MIMBA ZA UTOTONI
MKURUGENZI wa Maendeleo ya jamii kutoka Wizara ya Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, Patrick Golwike,akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya…
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MELI MPYA, UKARABATI WA MELI YA MV VICTORIA PAMOJA NA MELI YA MV BUTIAMA KATIKA ENEO LA BANDARI YA MWANZA SOUTH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Tuta la Sehemu inapojengwa Chelezo kubwa yenye uzito wa Tani 4000…
AWESO AWATAKA WAHANDISI WA MAJI RUWASA KUZINGATIA WELEDI WA KAZI
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso,akizungumza katika kikao kazi cha Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa Wakala wa Majisafi, Usafi na Mazingira Vijijini…
DENI LA TSHS BIL. 7 LAWAWEKA PABAYA WADAIWA SUGU WA NARCO
Na. Edward Kondela Serikali imesema wadaiwa wote waliowekeza katika ranchi za taifa zinazomilikiwa na Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) walipe madeni yao kabla…
MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA 6 YA USAJILI WA NGO’s KANDA YA MASHARIKI
Msajili na Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kushoto) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika…
WAZIRI MHANDISI KAMWELWE ATOA MIEZI MITATU KWA TEMESA
………………………… Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametoa miezi mitatu kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kutopeleka magari ya Serikali…
BALOZI IDDI ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA OFISI ZA SERIKALI YA ZANZIBAR DODOMA
Makamuwa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Iddi alisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais…