Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mawaziri wa Mambo ya Nje, Mawaziri wa Ulinzi wa SADC Wakutana Kujadili Hali ya Amani DRC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akifungua mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje pamoja na Mawaziri…
TDL YATOA MSAADA WA PRINTERS POLISI NA SHULE ZA SEKONDARI
Meneja wa kiwanda cha TDL,Aranyaeli Ayo Akiongea Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Meneja Masuala Endelevu wa TBL,Irene Mutiganzi Akiongea Katika hafla…
RC SINGIDA DKT. REHEMA NCHIMBI AKAGUA SHAMBA LA KOROSHO MASIGATI MANYONI
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, akionesha mabibo aliyoyaokota kwenye shamba la mfano la korosho lenye ukubwa wa ekari 12,000 lililopo Kijiji cha Masigati,…
BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KUSAIDIA UTEKELEZAJI MIRADI YA KIMKAKATI YA TANZANIA
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), akisalimiana na Rais wa Benki ya Biashara na Maendeleo Mashariki na Kusini…
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YA MAOFISA MAGEREZA UKONGA, APONGEZA HATUA KUBWA ILIYOFIKIWA
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akisalimiana na Maafisa wa SUMAJKT pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza alipowasili katika eneo la ujenzi…
MKUTANO WA TAASISI ZA FEDHA NCHINI KUFANYIKA ARUSHA NOVEMBA 21 & 22, 2019
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kushirikiana na Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) imeandaa mkutano wa taasisi za fedha nchini utakaofanyika jijini Arusha kujadili…
MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa,Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na…
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU PSSSF, BALOZI WA ANGOLA NCHINI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kwa…
TRA: WANANCHI LIPENI KODI YA MAJENGO, VIWANGO VIMEPUNGUZWA
Afisa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro, Bw. Morgan Njama (kulia) akimuelimisha Mlipakodi wa Kata ya…