Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC KUNENGE AGEUKA MBOGO, NI BAADA YA KUJIONEA “UBABAISHAJI” KWENYE JARIBIO LA KWANZA LA UCHINJAJI WA NG’OMBE NA MBUZI MACHINJIO YA VINGUNGUTI
………………………………………………………………. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameonyesha kutoridhishwa na zoezi la majaribio ya uchinjaji wa Ng’ombe na Mbuzi kwenye…
MTATURU ATIMIZA AHADI YAKE KWA VITENDO
………………………………………………………………………… MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameendelea na ziara yake jimboni humo ambapo ametembelea miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya elimu yenye…
AFISA TAKUKURU IRINGA AMPIGA KOFI MWALIMU MJAUZITO KISA DAFTARI LA MAHUDHURIO
katibu wa chama cha walimu wilaya ya kilolo (CWT) wilaya ya Kilolo Anthony Mang’waru akiongea na waandishi wa habari juu ya sakata la kupigwa kwa…
NMB YATOA MSAADA WA TISHETI ZILIZOVALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MJINI MOSHI
Katika kuunga mkono jitihada za uthibiti wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini, leo ikiwa Siku ya Ukimwi duniani, Benki ya NMB imetoa msaada…
KIBAHA MJI,MKURANGA NA CHALINZE ZAONGOZA MAAMBUKIZI MAPYA PWANI-NDIKILO
…………………………………………………………………………… NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa Mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ametaja Halmashauri ya Kibaha Mji, Mkuranga na Chalinze kuwa na maambukizi mengi ukilinganisha…
RC PWANI AWAASA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUWANYANYAPAA WATU WENYE MAAMBUKIZI YA VVU
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo katika hotuba yake na wananchi pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali katika maadhimisho…
KATIBU WA CCM MUFINDI AWATAKA MADIWANI KWENDA KUCHAPA KAZI
………………………………………………………………………………… NA RAYMOND MINJA MUFINDI KATIBU wa CCM wilaya ya mufindi mkoani Iringa James Mgego amewataka madiwani wa halimashauri ya wilaya ya mufindi kwenda…
RC MNDEME MGENI RASMI MAFUNZO YA KARATE
………………………………………………………………….. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Christina Solomon Mndeme anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi Katika Semina na mafunzo ya mchezo wa Karate Tanzania (GASSHUKU 2020) yatakayofanyika Ruvuma(Songea) kuanzia…
BIHARAMULO YAKUMBWA NA UPUNGUFU WA VYUMBA 64 VYA MADARASA UPANDE WA SEKONDARI, MBUNGE ACHANGIA UJENZI HUO
Wadau wa maendeleo ambao ni Mbunge wa jimbo la Biharamuo Magharibi Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa watatu kulia pamoja na mwenyekiti wa UWT mkoa…