DKT. NCHEMBA AHITIMISHA ZIARA NCHINI OMAN
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza katika kikao kifupi baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza katika kikao kifupi baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya…
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene,akizungumza leo Disemba 17,2024 jijini Dodoma wakati akifungua kikao…
VICTOR MASANGU, PWANI Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imesema kwamba itawahudumia walipakodi wake kwa kuzingatia misingi imara ya kuwa na uadilifu,…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akisaini kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkataba wa Kuondoa…
Naibu Waziri wa maji Mhandisi Kundo Mathew,akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa tenki la kuhifadhi maji linalojengwa katika eneo la Chandamali katika Manispaa ya Songea. Na Mwandishi Wetu,Songea ZAIDI ya vijiji 10,000 sawa na asilimia 79.8 kati ya vijiji 12,333 vimepata maji safi na salama huku huduma ya maji ikiongezeka kutoka asilimia 50 mwaka 2019 hadi kufikia asilimia 79.9 mwaka 2024 tangu Serikali ilipoanzisha wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa)mwaka 2019. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa maji Mhandisi Kundo Mathew,wakati akizungumza na viongozi wa Serikali ya mkoa wa Ruvuma akiwa kwenye siku ya kwanza ya ziara ya siku mbili mkoani Ruvuma. Kwa mujibu wa Naibu Waziri Kundo ni kwamba,katika kipindi hicho wizara ya maji imetekeleza na kukamilisha jumla ya miradi 164 kati ya 177 ambayo haikukamilika katika awamu zilizopita licha ya Serikali kutoa fedha za utekelezaji wa miradi hiyo. Amewahakikishia wananchi kuwa,wizara ya maji imejipanga kufikisha huduma ya maji safi na salama kwenye vijiji vyote hapa nchini na hakuna Mwananchi atakayekosa huduma ya maji kwenye makazi yake. “Wizara yetu ikiongozwa na Waziri Jumaa Aweso tumejipanga kwa kuendelea kufanya uchambuzi na kutambua miradi gani itakayotoa majibu ya kero ya maji kwa wananchi kupitia miradi ya kawaida,miradi ya miji 28 na miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini,nawatoa wasiwasi na kuwahakikishia kwamba hakuna mradi wa maji utakaosimama”alisema Naibu Waziri Kundo. Alisema katika kufanikisha mpango huo,watatumia vyanzo vilivyopo ikiwemo mto Ruvuma,ziwa Tanganyika na ziwa Nyasa kuiunganisha Tanzania katika mfumo mzima wa maji ili maji yatakayozalishwa yatumike kuharakisha kukua kwa uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. Aidha alieleza,wizara ya maji inakusudia kutengeneza gridi ya Taifa ya Maji ambayo chanzo chaka ni Ziwa Victoria na gridi hiyo itakapokamilika wataanza kuzalisha maji taka kwani kwa kawaida yanapozalishwa maji safi,asilimia 80 yanabadilika kuwa maji taka. Akizungumzia mradi wa uchimbaji visima 900/5 kwa kila jimbo Kundo alisema,tayari wameanza utekelezaji wake ambapo mkoa wa Ruvuma umepata visima 40 ambavyo vitakapokamilika vitapunguza kero ya huduma ya maji na wananchi watapata muda mwingi kwenda kufanya kazi za kujiletea maendeleo badala ya kutafuta maji. Alisema,visima vitakavyokuwa na maji mengi Wizara itajenga miundombinu ili maji hayo yapelekwe kwenye vijiji vya jirani ili Watanzania wote waweze kunufaika na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali yao kwenye sekta ya maji. Naibu Waziri Kundo alisema,wizara hiyo imeanza kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufunga mita za maji za lipa kabla ya matumizi(Pre paid) kwenye taasisi mbalimbali za Serikali na watu binafsi.…
Na. Lusungu Helela – Arusha. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema Rais wa Jamhuri…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amekipongeza chuo cha usimamizi wa fedha (IFM), kwa kuongeza masomo ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mthibiti Ubora wa Kiwanda cha Uzalishaji dawa za Binadamu cha CURE AFYA, Kareem Mruthu, alipotembelea kiwanda hicho…