TIMU YA MATI SUPER BRANDS LTD YACHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA BENKI YA NMB
Na Ferdinand Shayo, Manyara. Timu ya mpira wa miguu ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited mkoani Manyara…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Ferdinand Shayo, Manyara. Timu ya mpira wa miguu ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited mkoani Manyara…
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akifafanua kuhusu umuhimu wa kuweka akiba, wakati…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda (kulia) akikabidhi tuzo kwa Meneja uhusiano na Mawasiliano wa Barrick Tanzania Georgia Mutagahywa wakati…
Kazi ya kujenga mitaro ya kupitisha maji kwenye Barabara ya Mchoteka-Likweso-Wenje wilayani Tunduru ikiendelea. Mhandisi wa TARURA Wilayani Tunduru Msola Julius kulia,akiwaangalia mafundi wanaojenga…
Hakimu Mkazi mfawidhi Mwandamizi wa wilaya ya Tunduru Shughuli Mwampashe aliyevaa suti akiwaongoza watumishi na wadau mbalimbali wa mahakama kwenye maandamano kabla ya uzinduzi…
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 25 kwa mwakilishi wa shirika la Fageme Group (kushoto). Fedha hizo…
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la…
Na Mwandishi Wetu, KIGOMA WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza jopo la wataalamu wa msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipozindua Kanzidata na Mfumo wa Tarifa za Watu Wenye Ulemavu Unaotokana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya…
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, akizungumza wakati akizindua maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini kwa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga…