Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Riziki Pembe Juma akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu maadhimisho ya siku ya…
WAZEE NI HAZINA WASIHUSISHWE NA IMANI ZA KISHIRIKINA.
Na Issa Mwadangala Waananchi wa Kitongoji cha Hawiga Kijiji cha Shaji Kata ya Mlangali wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuacha tabia ya kuwahusisha…
“ACHENI KUZURURA MITAANI BAADA YA KUTOKA SHULENI”
Na Issa Mwadangala Vijana wa Mtaa wa Uwanjani uliopo Kata ya Mwakakati Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wametakiwa kukaa nyumbani baada ya kutoka shuleni…
SONGWE YAENDELEA NA DORIA ENDELEVU ILI KUTIMIZA JUKUMU MAMA LA KULINDA RAIA NA MALI ZAO
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe Februari 27, 2025 limefanya doria katika Wilaya zote nne, Mbozi, Songwe, Ileje pamoja na Momba kwa lengo la…
MAKETE YAFANYA MAOMBI MALUU MU KWA AJILI RAIS NA TAIFA ,WACHANGISHAMA NA KUWAPA WENYE HITAJI
NJOMBE,Mamia wameshiriki dua ya pamoja maalumu ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania Dr Samia na taifa kwa ujumla wilayani Makete mkoani Njombe…
KANDASIKIRA WAISHUKURU FAJU 45 KUWAJENGEA OFISI
Na Mwandishi wetu, Simanjiro WAKAZI wa Kijiji cha Kandasikira Kata ya Shambarai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameishuku kampuni ya Faju 45 company LTD kwa…
AMCOS ZA PWANI ZATAKIWA KUACHANA NA OFISI ZA MABEGI
Mwenyekiti wa chama kikuu cha ushirika cha Pwani (CORECU), Mussa Hemedi mng’eresa akiwaambia viongozi wa AMCOS za Pwani umuhimu wa kuwa na ofisi pamoja…
BALOZI NCHIMBI AWASILI NAMIBIA MSIBA WA SAM NUJOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa…
𝗣𝗥𝗢𝗙. 𝗡𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜𝗧𝗜𝗭𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜𝗔𝗡𝗢 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗗𝗔𝗨 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗘𝗞𝗘𝗟𝗘𝗭𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗔 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknlojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inasisitiza ushirikiano na wadau mbalimbali wa elimu katika kutekeza kwa ufanisi…