MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA WANAWAKE KANDA YA MAGHARIBI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Nishati na Jinsia wa Wakala…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Nishati na Jinsia wa Wakala…
-Baadhi ya Wakulima wa zao la Kahawa wa kijiji cha Utiri Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma wakiangalia uzalisha kwenye miche ya kahawa katika moja ya shamba linalomilikiwa na Chama cha Msingi cha Ushirika Kimuli Amcos. Na Mwandishi Wetu,Ruvuma WAKULIMA wa zao la kahawa wanaohudumiwa na Chama cha Msingi cha Ushirika KImuli Amcos kata ya Utiri Wilaya…
VICTOR MASANGU, BAGAMOYO Zaidi ya wananchi elfu 14 kutoka kata nane zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani kutoka katika…
Na WMJJWM – Geita. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewahimiza wanawake kushiriki kwa wingi katika…
Serikali imesema ipo mbioni kuanza ujenzi wa daraja la Ilembo lenye urefu wa mita 60 litakalogharimu kiasi cha Shilingi Bil.1.3 hadi kukamilika kwake lililopo…
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, Wazee, na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Riziki Pembe Juma akizungumza wakati wa Maadhimisho…
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Kamati hiyo…
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Wananchi wa kata ya Miono na Mandela, Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani wamebainisha kwamba, ukosefu wa elimu kuhusu sheria mbalimbali…
NA BALTAZAR MASHAKA,ILEMELA MANISPAA ya Ilemela imetoa sh. 1.135 za mkopo usio na riba kwa vikundi 60 vya wanawake,vijana,na watu wenye ulemavu,hatua itakayotoa fursa…
Na. Nancy Kivuyo, CHAHWA, DODOMA Mkutano wa hadhara wa wananchi wa Kata ya Chahwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamefanikiwa kuzindua utekelezaji wa ujenzi…