WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA RWANDA NA ZIMBABWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan…
Afisa Sheria Mwandamizi, Idara ya Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonga, akitoa mafunzo ya elimu ya…
Mwandishi wetu, Monduli WANAWAKE wa Jamii ya kifugaji ya kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha, wametajwa kuwa waathirika wakubwa wa mabadiliko ya tabia nchi, hali…
Benki Kuu ya Tanzania imeshiriki katika Soko la jumla la Fedha za Kigeni (IFEM) kwa mujibu wa Sera yake ya ushiriki katika soko la…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma(Mbiuwasa)na Mhandisi Yonas Ndomba kushoto na mwakilishi wa kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd Elias Nyenzi,wakionyesha mikataba ambapo kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd imepata kazi ya kutengeneza na kusambaza mabomba ya maji kwa ajili ya uboreshaji wa huduma ya maji katika mji wa Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Kisare Makori,akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira katika Mji wa Mbinga(Mbiuwasa) na Wakandarasi waliopata kazi ya kutengeneza mabomba na ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika mji huo,kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Mbiuwasa Mhandisi Yonas Ndomba na kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Mbiuwasa Mhandisi Patrick Ndunguru. Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbinga mji Mbiuwasa Mhandisi Patrick Ndunguru,akizungumza baada ya Mamlaka hiyo kutiliana saini na wakandarasi watakaotekeleza ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika mji wa Mbinga,kulia kwake Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Kisare Makori. Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbinga Mjini(Mbiuwasa) wakiongozwa na…
Huzuni kubwa ilitanda miongoni mwa watu tuliokuwepo wakati mwanamke mmoja aliposhuka kwenye gari kwa tabu huku akiwa na magongo. Binafsi nilikuwa nimevunjika…
Diwani wa Halmashauri ya Mkinga mkoani Tanga Mhe. Mwandei Machumwa Mohamed,akiwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali…
DODOMA Naibu Katibu Mkuu Wizara ya katiba na Sheria Dkt. Franklin Rwezimula amewaasa Wananchi kuishi maisha ya kumpendeza mwenyezi Mungu Katika kipindi hiki cha…
KAIMU Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Nokta Banteze,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mafanikio na Mwelekeo…
Kamishna wa Idara Usimamizi wa Deni la Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Japhet Justine, akiagana na Balozi wa Denmark Nchini, Mhe. Jepser Kammersgaar, baada…