Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipungia wananchi wakati akiingia kwenye kivuko baada ya kukagua
maendeleo ya ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi la urefu wa kilomita
3.2 mkoani Mwanza leo Jumatatu Desemba 28, 2020
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa
Darala la Kigongo-Busisi la urefu wa kilomita 3.2 mkoani Mwanza leo
Jumatatu Desemba 28, 2020
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akikagua maendeleo ya ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi la urefu wa
kilomita 3.2 mkoani Mwanza leo Jumatatu Desemba 28, 2020 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiongea na wananchi baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Darala la
Kigongo-Busisi la urefu wa kilomita 3.2 mkoani Mwanza leo Jumatatu
Desemba 28, 2020