Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano wa kujadili changamoto mbali mbali zinazopatika katika Mji Mkongwe wa Zanzibar na Wadau wa Mji huo leo katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar pamoja na sababu mbali mbali za kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la beit el Ajab Wiki iliyopita na kusababisha maafa na hasara kwa Serikali ya Mapinduzi. [Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Mwandishi wa habari Mwandamizi akichangia katika mkutano wa Mbali mbali wa Mji Mkongwe uliozungumzia sababu mbali mbali za kuporomoka kwa Jumba la kibiashara la Beit El Ajab na njia mbali mbali za kuupa hadhi zaidi mji Mkongwe wa Zanzibar Kimataifa. [Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe wa Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kujadili njia mbali mbali za kuboresha Mji Mkongwe wa Zanzibar na sababu za kuporomoka kwa jengo la Beit El Ajab mwishoni mwa wiku iliyopta. [Picha na Ikulu] 28/12/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana leo baada ya mkutano na Wadau wa mji Mkongwe za Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar pamoja na sababu mbali mbali za kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la beit el Ajab Wiki iliyopita na kusababisha maafa na hasara kwa Serikali ya Mapinduzi. [Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Lela Mohamed Mussa wakati alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika Mkutano na wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe ambapo mambo kadhaa ya kuboresha na kuupa hadhi zaidi Mji Mkongwe wa Zanzibar yalizungumzwa.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo Chaangamoto na mambo yaliyopelekea kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la Beit El Ajab wiki iliyopita yalizungumzwa.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa wadau mbali mbali wa Mji Mkongwe na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo Chaangamoto na mambo yaliyopelekea kuporomoka kwa Jumba la Kihistoria la Beit El Ajab wiki iliyopita yalizungumzwa.[Picha na Ikulu] 28/12/2020.