Mshindi wa nne wa promosheni ya Vodacom Tanzania, Shangwe Shangwena, Regina Kashmir mkazi wa Moshono jijini Arusha akifungua mlango wa gari mpya aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arusha, Mhe. Kenan Kihongosi .