MchanganyikoRAIS DK.MWINYI ATEMBELEA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR Last updated: 2020/11/03 at 5:02 PM Alex Sonna 4 years ago Share Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Kaimu Mkurugenzi Huduma za bandari Nd. Juma Sururu Juma (katikati) wakifuatana pamoja na Ujumbe wake wakati alipotembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar leo mchana. SHARE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti wa Bandari Majaliwa Abdalla Rashid Shirika la Bandari wakati alipotembelea Bandari ya Malindi leo mchana akiwa katika ziara ya hafla.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) aliposalimiana na wafanyakazi katika bandari ya wakati alipotembelea bandari ya malindi leo mchana kuona maendeleo ya kiutendaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Kaimu Mkurugenzi Huduma za bandari Nd. Juma Sururu Juma (katikati) wakifuatana pamoja na Ujumbe wake wakati alipotembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar leo mchana.PICHA NA IKULU ZANZIBAR Alex Sonna November 3, 2020 November 3, 2020 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article CCM YAONGEZA MUDA UCHUKUAJI FOMU ZA USPIKA, WENYEVITI NA MAMEYA Next Article BONDIA ITABA KUZICHAPA NA MKONGO