Katibu MKuu wa Wizara ya Kilimo
Mhandisi Mathew Mtigumwe akisisitiza jambo wakati wa kikao maalumu kuhusu mradi
wa E-Kilimo Accelerator uliofanyika juzi tarehe 2 Julai 2019 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali watu Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akizungumza jambo wakati wa kikao
maalumu kuhusu mradi wa E-Kilimo Accelerator uliofanyika juzi tarehe 2 Julai
2019 Jijini Dodoma

Mkurugenzi wa sera na Mipango
Wizara ya Kilimo Ndg Obey Assery akizungumza
jambo wakati wa kikao maalumu kuhusu mradi wa E-Kilimo Accelerator uliofanyika juzi
tarehe 2 Julai 2019 Jijini Dodoma.

Najma Khamis Salum, Afisa mawasilianao – Sahara Consulting
Serikali kupitia Wizara ya
Kilimo imesema ipo tayari kufanya kazi na Vijana wabunifu katika utekelezaji wa
Sera yake mpya ya Kilimo nchini ambapo suala la matumizi ya Teknolojia katika
kilimo limepewa kipaumbele.

Hayo yamesemwa na Katibu MKuu wa
Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe juzi tarehe 2 Julai 2019 wakati wa kikao
maalumu kilicho itishwa na Wizara hiyo kupata ufahamu zaidi kuhusu mradi wa E-Kilimo
Accelerator uliojikita katika kutafuta suluhu za teknolojia za kidijitali zinazosaidia
kupambana na changamoto mbalimbali kwenye sekta ya kilimo.

Mradi huo wa E-Kilimo
Accelerator umefadhiliwa na ubalozi wa Denmark nchini na kuendeshwa na Shirika
la Sahara Consulting la jijini Dar es salaam.

Akizingumza katika kikao hicho
kilichowahusisha wataalamu wa ngazi za juu wa Wizara ya Kilimo kutoka vitengo
vyake vyote, Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo Bw. Assery Obey
amesema, Serikali ingependa kuona bunifu hizo zilizopatikana kupitia mradi huo
zinatumika ipasavyo kwa kushirikiana na Wizara katika kutatua changamoto
mbalimbali na ikiwezakana kufanya kazi na vitengo vyake katika kuziendeleza na
kuzitumia katika maeneo yake ya utekelezaji.

“Nimefurahishwa na jinsi kampuni
hizi zilivyokua zikiwakilisha bunifu zao hapa na vile walivyoweza kuchambua
maeneo ya vipaumbele ya serikali na kupendekeza jinsi gani wanaweza kufanya
kazi na Serikali”. Alisema Assery.

Serikali pia imetoa wito wa
ushirikwashaji wa serikali wakati wa uandaaji miradi hiyo na usimamiaji ili
kuhakikisha inaleta matokeo makubwa zaidi na inajibu changamoto husika.

Nae Bwana Adam Mbyallu ambae ni
Mkuregenzi wa Shirika la Sahara Consulting ambayo ni miongoni mwa taasisi tanzu
ya Sahara Ventures ameishukuru Wizara ya Kilimo kwa utayari wake wa kufanya
kazi na vijana na kuona bunifu zao zinaendelezwa.

“Sio lazima kila kijana
ajihusishe na Kilimo kwa maana ya kulima moja kwa moja, Vijana kwa taaluma zao
wanaweza wakabuni namna bora ya kusaidia Mnyororo wa Kilimo kupitia bunifu na
teknolojia mbalimbali”. Alisema Bw, Mbyallu.

Mkutano huo, ulihudhuriwa pia na
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania Bw. Boniface Ihunyo.

Kwa
upande wake Bw. Ihunyo amesema Ubalozi wa Denmark nchini uliamua kusaidia mradi
huu katika juhudi zake za kuangalia ni kwa namna gani teknolojia inaweza kusaidia
katika nyanja mbalimbali nchini ambapo kilimo ni moja ya nyanja kuu na hivyo
basi kuona umuhimu wake.

Mradi huu ni wa kwanza na wa
kipekee unahusisha kusaidia ongezeko la
kasi la biashara za kilimo. E-Kilimo ililenga kuongeza kasi katika ukuaji wa sekta
ya bidhaa za chakula na mazao Tanzania kupitia matumizi ya teknolojia na
uvumbuzi katika utatuzi wa changamoto zinazoikumba sekta hiyo na hivyo kuleta
matokeo katika uzalishaji, ajira na fursa za maendeleo.

Jumla ya bunifu Tisa zimeweza
kupatikana katika mradi huo na tano kati ya hizo ziliweza kuwasilisha bunifu
hizo Wizarani.

Miongoni mwa mambo
yaliyojadiliwa katika mkutano huo ni pamoja na yafuatayo;

● Ni kwa namna gani kwa pamoja
tunaweza kushirikiana ili kuweza kumsadia mkulima mdogo.

● Ni kwa namna gani tunaweza
kushirikiana kuandika na kuandaa miradi ya kilimo.

● Na pia jinsi ya kuwasaidia
vijana wanaokuja na mawazo mbalimbali ya kibunifu.

Kwa Taarifaa zaidi kuhusu mradi
huu Tafadhali tembelea tovuti yetu
huu Tafadhali tembelea tovuti yetu
Au kurasa zetu
Facebook: @ekilimoeccelerator
Instagram: @ekilimotz
Twitter: @eKilimotz