Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WANACHAMA wapya 165 wamejiunga na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kibaha Mjini, Mkoa wa Pwani, hatua inayoonesha mwitikio wa wanawake…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza utayari wake wa kuendelea kuunga mkono juhudi za kikanda za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa SADC…