MGOMBEA Ubunge jimbo la Gando Salum Mussa omar akiwaombea kura wagombea wenzake katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira wa Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu] 27/09/2020.
Wagombe naffs Udiwani CCM walipokuwa wakitambulishwa katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Mpira wa Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ikulu] 27/09/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.[Picha na Ikulu].27/09/2020.
Wanachama wa CCM na wananchi wakiwa katika Mkutano wa Kampeni kusikiliza Sera za Chama hicho zilizotolewa na Mgombea Urais Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni zilizofanyika leo Uwanja wa Gando.[Picha na Ikulu].27/09/2020.