Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, Septemba 16, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa SIngida, Dkt. Rehema Nchimbi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, akiwa njiani kuelekea Bariadi, Septemba 16, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, Septemba 16, 2020. Kushoto ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Singida Injinia, Matari Masige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)