MGOMBEA
Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akiwa amebeba fomu za kuwania
Ubunge Jimbo hilo akiwa njiani kuzirudisha ofisi ya Msimamizi wa
Uchaguzi kwenye Jimbo hilo mapema leo

MGOMBEA
Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa
Maji  kulia akizirejesha fomu za kuwania kiti hicho leo kwa msimamizi
wa Uchaguzi wa Jimbo la Pangani Isaya Mbenje katikati anayeshuhudia ni
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Rajabu

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katika akiwa na kada wa CCM  Victoria Mwanziva kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George mara baada ya kurejesha

MGOMBEA
Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa
Maji katikati akiwa na  KATIBU Tawala wa wilaya ya Pangani (DAS)
Mwalimu Hassani Nyange  kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George na wa kwanza kushoto ni kada wa  CCM  Victoria Mwanziva  mara baada ya kurejesha

 

MGOMBEA
Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Maji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu za
kuwania Ubunge Jimbo la Pangani