Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo alipoitembelea kampuni ya Vodacom Tanzania PLC na kuipongeza kampuni hiyo kwa uwekezaji mkubwa waliofanya. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia na Mkurugenzi wa kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC, Dkt. Maduhu Isaack Kazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akiwa kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC na maofisa aliofuatana nao