Mwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma akichangia Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul-latif Yussuf katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Shamata Shaame Khamis (kushoto)akibadilishana mawazo na mwakulishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Suleiman Sarahan Said akichangia Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema safari ya Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Kiislamu ya Bohora Duniani (Da’i al-Mutlaq), Syedna Mufaddal Saifuddin, kwa kutumia…
Katika jitihada za kuendeleza ustawi wa wananchi na kuchochea uchumi wa maeneo ya vijijni na vitongojini, Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme wilayani Kondoa…