Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya,akizungumza na wasimamiza wa ujenzi wa Mradi wa kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya,akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa Mradi wa kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya,akikagua ubora wa Tofali za ujenzi wa Mradi wa kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya,akiangalia ramani ya mchoro wa ujenzi wa Mradi wa kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya,akitoa maelezo kwa Msimamizi wa Mradi huo Mhandisi Saimon Ilege alipofanya ziara ya kukagua na kujionea ujenzi wa Mradi wa kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma.
Muonekano wa ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata Ngozi kinachojengwa eneo la Zuzu jijini Dodoma
…………………………………………………………………………….
Na. Alex Sonna, Dodoma
Serikali imetoa wito kwa wadau wa ngozi nchini kutumia fursa ya kiwanda cha kuchakata ngozi kinachojengwa Jijini Dodoma kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na ngozi.
Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mradi huo unaotekelezwa eneo la Zuzu lililopo jijini Dodoma.
Aidha Manyanya amesema kuwa mradi huo ukikamilika eneo hilo litakuwa kijiji cha ngozi hivyo sasa ni wakati sahihi wa wadau wa ngozi kujitathimini na kuhakikisha ngozi zinafikishwa pale kwa ajili ya utengenezaji wa biaadha zitokanazo na Ngozi
“Sisi matarajio yetu , serikali itatenga fedha kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati hivyo wadau tunataka tushirikiane katika dira hii ili kufanya kitu cha wakika na kuhakikisha viatu na bidhaaa nyingine zinazopatikana kwenye ngozi zinakuwa zinazalishwa hapa nchini”, ameeleza “, ameeleza Samisa.
Kwa kuongezea amesema Mhe. Manyanya amesema kuwa kuwa Tanzanzana Ngozi itapatikaba kutoka katika maeneo mengine hapa nchini
“Hivyo basi niwatake Wadau sekta ya ngozi kwa kuwambia mambo yameiv sasa ni wakati sasa wa kuchangamkia fursazilizopo Makao Makuu ya Nchi Dodoma “, ameweka wazi Manyanya.
Aidha Mhandisi Manyanya ameagiza kuwa kujengwa kwa ubora unaohitajika , kusimamiwa vizuri ili kupata kiwango cha jingo bora, na matumizi ya fedha yaendane na ubora wa jingo, pia kujernga kwa kasi ili kuaanza kufanya shughuli zake