Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick Nduhiye akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu TBS, Dkt. Yusuf Ngenya katika banda la TBS wakati wa maonesho ya nane nane Simiyu.