Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba yenye kiwango cha daraja la kwanza iliyokuwa ikipimwa wakati alipozindua ununuzi wa zao hilo mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba wakati alipokagua ghala baada ya kuzindua ununuzi wa zao hilo mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homela na Wa tatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya pamba, Marco, Tunga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua ununuzi wa pamba Mkoani Katavi kwa msimu wa 2020/2021 kwenye Chama cha Msingi cha Ushirika cha Kasekese wilayani Tanganyika, Julai 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)