Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kodi wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Kissa Kejo akisikiliza maoni ya Mfanyabiashara wa eneo la Uhuru Jijini Mwanza wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Mfanyabiashara wa kuuza, kuchana na kuranda mbao wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza akitoa maoni yake kwa Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Lazaro Mafie wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Patrick Massawe akimuelimisha Mfanyabiashara wa eneo la Kisesa Jijini Mwanza anayejishughulisha na uuzaji wa mbao wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO.