Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Edith Simtengu (mwenye kofia) akiongoza watumishi wa Wizara hiyo kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
DODOMA, Novemba 24, 2026 Tume ya Madini imewahimiza wananchi na wawekezaji wanaokusudia kuwekeza katika sekta ya madini kufuata taratibu zilizowekwa za upatikanaji wa leseni…