Mhe. Rais Dkt. Samia akutana na Kuzungumza na Mhe. Miao Deyu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Miao Deyu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026. 

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Miao Deyu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Novemba, 2026.