Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Aprili 8/2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai ofisini kwake bungeni jijini Dodoma leo Aprili 8/2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatalia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ulioiwasilishwa na Waziri wake, Selemani leo Aprili 8/2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).