Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU MAGOGONI