Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua mizani ya kupima pamba za wakulima katika Kijiji cha Imalanguzi katika Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 14 Juni 2019 wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya ufuatiliaji wa chanagmoto ya zao la Pamba. (Picha zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akihutbia mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Mwabuzo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya ufuatiliaji wa chanagmoto ya zao la Pamba, tarehe 14 Juni 2019.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua skimu ya umwagiliaji ya Igurubi iliyopo katika Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 14 Juni 2019 wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya ufuatiliaji wa chanagmoto ya zao la Pamba.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akihutbia mamia ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Mwabuzo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya ufuatiliaji wa chanagmoto ya zao la Pamba, tarehe 14 Juni 2019.
Na Mathias Canal,
Wizara ya Kilimo – Simiyu
Wizara ya Kilimo – Simiyu
Uongozi wa Wizara ya Kilimo umewasili katika mikoa ya
Kanda ya ziwa ili kubaini changamoto zinazowakabili wakulima wa zao la Pamba na
kuzitafutia ufumbuzi.

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameongoza
timu hiyo ambapo amezuru katika mikoa ya Tabora na Simiyu kwenye Wilaya za
Igunga na Meatu.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) anatembelea
katika Mikoa ya Shinyanga na Mara huku Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi
Mathew Mtigumwe akizuru katika Mikoa ya Geita na Mwanza.

Akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika
Kijiji cha Imalanguzi Kijiji cha Igurubi Wilayani Igunga, na Kijiji cha Mwabuzo
Wilayani Meatu, Mhe Hasunga amesema kuwa wizara ya Kilimo ipo katika mchakato
wa kutafuta mfumo madhubuti wa ununuzi wa Pamba.

Alisema mfumo huo punde utakapoelekezwa utatumika
lakini ni mfumo ambao utakuwa maalumu kwa ajili ya kuimarisha na kuboresha
sekta ya pamba nchini.

Amesisitiza kuwa ili kuimarisha kilimo nchini ni wazi
kuwa wakulima wanapaswa kupatiwa Pembejeo za kilimo ambazo ni Mbegu, Mbolea na
Viuatilifu. “Hatuwezi kuwakomboa wakulima kama tutaendelea na uagizaji wa
pembejeo feki ambazo zinawarudisha nyuma wakulima” Alikaririwa Mhe Hasunga

Katika ziara hiyo yenye lengo la kutambua changamoto
ya zao la Pamba, masoko yake na upatikanaji wa pembejeo, Waziri Hasunga
ameeleza kuwa zao la pamba ni sehemu ya mazao makuu ya biashara nchini hivyo ni
lazima litafutiwe ufumbuzi.

Aidha, Mhe Hasunga ametumia nafasi hiyo kuwaeleza
wananchi katika mikutano hiyo kuwa Wizara ya Kilimo ipo katika mapitio ya sera
ya Kilimo ya mwaka 2013 itakayopelekea kuwa na sheria ya kilimo
itakayomnufaisha mkulima na kulinda rasilimali za kilimo ikiwemo ardhi.

Kadhalika, amesema kuwa serikali inaendelea na zoezi
la usajili wa wakulima huku akisisitiza umuhimu wa sekta ya umwagiliaji ambayo
ikisimamiwa vizuri itakuwa muarobaini wa kilimo pasina kutegemea msimu wa mvua
kwa ajili ya kilimo.