NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
THAMANI ya Mfuko mpya wa Hifadhi ya Jamii
kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF) imefikia Shilingi Trilioni 5.8 baada ya uamuzi
wa serikali kuunganisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ambayo ni

PSPF,
LAPF NA PPF.
LAPF NA PPF.
Meneja
Kiongozi Uhuasiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, Bi/ Eunice Chiume ameyasema
hayo leo Juni 14, 2019 wakati alipotembelea ofisi za kampuni ya CZ
Information and Media Consultant LTD inayochapisha magazeti ya Tanzanite,
Fahari Yetu na Tanzania Perspective jijini Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo wa
ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari ili kukuza ushirikiano na kutangaza
shughuli za Mfuko huo mpya.

“Mfuko
wetu ni mkubwa sana tangu zoezi hili la kuunganisha Mifuko likamilike, tuko
vizuri na tunatoa huduma kupitia ofisi zetu nchi nnzima Bara na Visiwani.”
Alisema Bi. Cheume.

Alisema,
wanachama wa PSSSF wanapaswa kutambua kuwa majukumu makuu ya Mfuko yamebaki
kuwa yale yale ambayo ni kuandikisha wanachama, kukusanya michango ya kila
mwezi ambapo asilimia 15 inatoka kwa mwajiri na asilimia 5 kutoka kwa
mfanyakazi, lakini pia kulipa pensheni kwa wastaafu.

“Takwimu
zetu zinaonyesha hadi sasa tuna wastaafu wanaopokea pensheni 124,500 na kati ya
hao hadi kufikia wiki moja iliyopita wastaafu elfu 10,500 bado hawajahakiki
taarifa zao kama sheria na kanuni zinavyoelekeza na nitumie nafasi hii
kuwahimiza wastaafu wote ambao bado hawajahakiki taarifa zao wafanye hivyo.”
Alifafanua.

Meneja Kiongozi Uhusianp na Elimu kwa Umma, Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF), Bi. Eunice Chiume (kulia), akiwa na Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi, akizingumza wakati
alipotembelea chumba cha habari cha kampuni ya CZ Information and Media
Consultant LTD inayochapisha magazeti ya Tanzanite, Fahari ya
Tanzania na Tanzania Perspective jijini Dar es Salaam Juni 14, 2019 ikiwa ni
mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari ili kukuza
ushirikianona kutangaza shughuli za Mfuko huo mpya ambao ulianzishwa baada ya
serikali kuunganisha Mifuko mine ya Hifadhi ya Jamii ambayo ni PSPF, LAPF, PPF na GEPF.

Consultant LTD inayochapisha magazeti ya Tanzanite,
Fahari ya Tanzania na Tanzania Perspective jijini Dar es Salaam Juni 14, 2019
ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea vyombo vya habari ili kukuza