Kevin De Bruyne (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 83 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Real Madrid usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Real Madrid ilitangulia kwa bao la Isco dakika ya 60, kabla ya Gabriel Jesus kuisawazishia Man City dakika ya 78 na timu hizo zitarudiana Machi 17 Uwanja wa Etihad, Manchester PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MANCHESTER CITY YAIZAMISHA 2-1 REAL MADRID PALE PALE BERNABEU LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
February 27, 2020 | 3:34 am

Related Stories
View all
Uncategorized
4 days ago
KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Zahor Matar Masoud akizungumzia kuhusiana na…
Uncategorized
7 days ago
WAKULIMA WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI KUKIDHI MAHITAJI YA VIWANDA NA MASOKO YA NJE
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Darsh Industries Limited ,Bhadresh Pandit akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya jukwaa la Kimataifa la Biashara na…
