Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akielezea fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini Tanzania katika mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Wadau wa madini (kulia ) wakipata maelezo kuhusu shughuli zinazofanywa na Tume ya Madini kwenye banda la Tume ya Madini katika maonesho yanayoendelea katika mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na timu inayoshiriki katika maonesho kwenye mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Kutoka kushoto, Meneja Habari na Mawasiliano wa Tume ya Madini, Greyson Mwase, Mkurugenzi wa Huduma za Tume ya Madini, William Mtinya, Afisa Mazingira wa Tume ya Madini, Monica Augustino na mchimbaji wa madini ya vito, Idd Pazi wakiwa katika picha ya pamoja kwenye maonesho yanayoendelea katika mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Viongozi wa Tume ya Madini wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Madini, Doto Biteko (hayupo pichani) kwenye mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Kutoka kulia makamishna wa Tume ya Madini, Dk. Athanas Macheyeki na Haroun Kinega wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa kwenye mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (katikati) akifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa kwenye mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2020 ambao unakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.