Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda nchini.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili kuendana na kasi ya maendeleo ya viwanda nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi