Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akipanda mti aliposhiriki na kuhamasisha wananchi katika zoezi la
upandaji miti katika eneo la Swaswa Minarani jijini Dodoma leo ambapo aliushukuru uongozi wa Benki YA NBC kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuilfanya jiji hilo kuwa kijani kwa kupanda miti ipatayo 1,000.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akisaini kitabu cha wageni alipowasili eneo la Swaswa Minarani jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki zoezi la upandaji miti leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya NBC baada ya kupanda miti.