Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili katika Ofisi ndogo za Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni 2019.
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille. Mazungumzo yao yalifanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni 2019 |
|
Mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb.) na Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille yakiendelea. Kushoto kwa Mhe. Kabudi ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni 2019 |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiagana na mgeni wake ambaye ni Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo za
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar
es Salaam tarehe 12 Juni 2019 |
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (kulia)
akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi yaliyofanyika tarehe 12 Juni 2019. |