1024×768
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi (mwenye nguo za kijani ) akiwapatia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ikungi boksi la taulo za kike. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi(mwenye suti nyeusi) Edward Mpogolo, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ikungi Justice Kijazi
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ikungi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi mara baada ya kupokea maboksi ya taulo za kike kutoka kwa wadau mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye skafu) na Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi wakijadiliana mara baada ya kutoka kwenye mkutano wa mafanikio ya miaka 4 ya Rais Magufuli ambapo Waziri wa TAMISEMI Suleimani Jaffo alipongeza jitihada za Mkoa wa Singida kwenye utoaji wa huduma za afya.
wafanyabiasha wa kutengeneza na kuuza taulo za watoto wa kike kuacha
mara moja tabia ya kutengeneza taulo zisizo na ubora kwa kuwa Mkoa wake umeanzisha msako
wa kiintelijensia na kistratejia wa kuzisaka taulo zisizo na ubora ambapo
atakayebainika sheria itachukua mkondo wake mara moja.
zoezi maalum la uzinduzi wa uchangishaji wa taulo za mtoto wa kike katika Mkoa
wa Singida lililopewa jina la “Mjali mtoto wa kike kwa maendeleo yake na
Taifa lake” ambapo ametoa rai kwa wadau wote kushiriki kikamilifu
katika kuwabaini na kutoa taarifa za wafanyabiashara watakaojaribu kuuza taulo
zisizo na ubora ili kuwalinda watoto wa kike
na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli nchi yetu
imekuwa kwenye mashindano ya kiuchumi duniani hivyo mikakati madhubuti ya
kudhibiti ubora unahitajika katika kipindi hiki kuliko kipindi kingine
chochote.
wazazi wana mchango mkubwa katika kumlinda mtoto wa kike kwa ustawi wa taifa
letu.
mipango ya udhibiti wa ubora kwa watengenezaji hawa kwa kuwa majuto ni mjukuu,
tusisubiri kufika huko “ alisisitiza Dkt .Nchimbi
wa taulo za kike ni ubora wa maisha yao hivyo ni muhimu kuchukua hatua za kuangalia na kudhibiti mnyororo
mzima wa uzalishaji na usambazaji wa taulo sizizo kuwa na ubora.
utengenezaji wa taulo bora za kisasa zitakazotengenezwa kwa kutumia malighafi
za hapa nchini ambapo alisema mshindi atakayepatikana atamzawadia tuzo ya shilingi milioni moja.
thamani kwa kuwa hedhi ni uhai ambapo alisisitiza elimu ya jinsia na mtoto wa kike kutambua
mabadiliko ya miili yao iendelea kutolewa ili kuwajenga watoto wa kike kujua
thamani ambayo mungu amewajalia kwa kuwaumba wakamilifu.
ya mtoto wa kike ambapo katika uzinduzi
wa huu lengo lilikuwa ni kuchangia paketi 8000 za taulo za kike lakini
zilipatikana jumla ya paketi 9089 kulingana na fedha zilizotolewa.
kuchangia taulo 192,000 kwa watoto wote wa kike kwenye shule 36 za
Sekondari, na shule 131 za Msingi
zenye jumla ya watoto wa kike
16,000
kipaumbele katika huduma za afya zenye ubora na zinazowafikia wananchi wote ili
kuboresha afya zao.
kwa wananchi wake kwani afya bora ni raslimali muhimu kwa maendeleo. Maendeleo
ya Taifa letu la Tanzania yataletwa na wananchi wenye afya na wenye uwezo wa
kuzalisha mali.
bora, Serikali imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya
kwa kuzingatia sera na miongozo iliyopo.
haitamfumbia macho mdau yoyote wa utoaji wa huduma ya afya ambaye atafanya
kazi kwa mazoea bila kuzingatia sheria na taratibu za utoaji huduma na kwamba
kuanzia sasa Serikali itakaa na kupanga
kwa pamoja ili kuwapatia wananchi huduma bora wakati wote kwa
wananchi wa Mkoa wa Singida na taifa kwa ujumla” amesisitiza Dkt. Lutambi
Selemani Jafo, amepongeza juhudi zinazofanywa
na Serikali ya Mkoa wa Singida kwenye utoaji wa huduma za afya wakati akiwasilisha mafanikio ya TAMISEMI kwa kipindi cha miaka
mine ya Rais Magufuli
alimshukuru Mkuu wa Mkoa kwa wazo la kutaka Halmashauri zote katika Mkoa wa
Singida kutoa elimu ya jinsia mashuleni na kuwachangia wa watoto wa kike taulo
hizo kwa kuwa jambo lenye manufaa kwa taifa kwa kuwa ukimuelimisha mtoto wa kike umeelimisha taifa zima.
kuwa ni pamoja na mimba za utotoni,kubakwa,kuozeshwa katika umri mdogo na
kufanyishwa kazi nyingi nyumbani.
uchangiaji wa taulo za mtoto wa kike ambaye pia ni Afisa Maendeleo wa
jamii wilaya ya Ikungi Haika Massawe alipendekeza wazazi wahusishwe kikamilifu
katika program hii.
kama polisi na mahakama
vitende haki katika kushughulikia
haki za mtoto wa kike aidha wazazi wa
wanafunzi wa kike mashuleni waelekezwe
kutoa fedha maalum kwa ajili ya kununua
taulo za watoto wao.