

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya Wabunge, wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Februari 13.2025. (Picha na Ofisi ya Wazziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Februari 13.2025. (Picha na Ofisi ya Wazziri Mkuu)