Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Julius Kalolo,akiongoza kikao na wazalishaji wa nyaya za umeme alipofanya ziara ya siku moja kwenye viwanda vinavyotengeneza vifaa vya umeme vya Kilimanjaro Cables, MCL na Europe Industries (Tropical) vilivyopo Dar es Salaam.
Viongozi wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), wakimsikiliza mmoja wa wazalishaji wa nyaya za umeme walipofanya ziara ya siku moja kwenye viwanda vinavyotengeneza vifaa vya umeme vya Kilimanjaro Cables, MCL na Europe Industries (Tropical) vilivyopo Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Julius Kalolo,akisalimiana na Mkurugenzi wa Europe Industry Bw.Charles Mlawa wakati wa ziara ya kukagua na kujionea viwanda vinavyotengeneza vifaa vya umeme vya Kilimanjaro Cables, MCL na Europe Industries (Tropical) vilivyopo Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Julius Kalolo (kushoto) akimsikiliza mdau (katikati), wakati wa ziara ya kukagua na kujionea viwanda vinavyotengeneza vifaa vya umeme vya Kilimanjaro Cables, MCL na Europe Industries (Tropical) vilivyopo Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Nishati Vijijini, Mhandisi Styden Rwebangira