Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Tume  ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2025. Wa pili kuila ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Rais  ya Marekebisho ya Kodi, Balozi Ombeni Sefue  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2025.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume  ya Rais ya Marekebisho ya Kodi baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 20, 2025. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Balozi Ombeni Sefue. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)