Mwenyekiti wa TALGWU Taifa ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya,akizungumza wakati wa kikao cha 30 cha Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kilichofanyika leo Januari 15,2025 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa TALGWU, Rashid Mtima,akizungumza wakati wa kikao cha 30 cha Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kilichofanyika leo Januari 15,2025 jijini Dodoma.
SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati akifungua kikao cha 30 cha Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kilichofanyika leo Januari 15,2025 jijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao cha 30 cha Baraza Kuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kilichofanyika leo Januari 15,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA