Katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha
Mapinduzi (CCM) taifa Hamprey Polepoleakiongea wakati akiwa kwenye ziara ya kimkakati ya siku moja mkoani Iringa

Mapinduzi (CCM) taifa Hamprey Polepole akiongea na madereva bajaji wakati wa kuzindua tawi la bajaji manispaa ya Iringa.

Mapinduzi (CCM) taifa Hamprey Polepole akisoma kibao cha tawi alilolifunga mtaa wa mwembetogwa manispaa ya Iringa.

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha
Mapinduzi (CCM) taifa Hamprey Polepole ametoa bajaji kumi kwa umoja wa
madereva bajaji mkoa wa Iringa ili ziweze kuwasaidia kujikwamua
kiuchumiwa tawi hilo mkoani hapa

Polepole alisema kuwa chama cha mapinduzi
ni ni chama kinachofanya kazi kwa vitendo hivyo kwa kuona umuhimu
wa kuwasaidia vijana kujikwamua kiuchumi na kuchapa kazi kwa
kuwa chama hicho kitatoa bajaji kumi ili ziweze kuwasaidia vijana
kujikwamu kiuchumi.
“Nimekuja hapa leo kuja kufungua tawi lenu hili lakini
nimesikia risala yenu kuwa kuwa munaitaji bajaji na viwanja,chama hiki sio
chama cha porojo tunafanya kazi kwa vitendo sasa mwenyekiti wa wilaya hizi kadi usitoe leo zitoe
tarehe 20/7 mwaka huu ukiambatanisha na bajaji kumi ili ziwasaidie vijana wetu hawa wanao muunga
mkono Rais wetu John Pombe Magufuli”

Alisema kuwa maendeleo ya nchii hii hayana chama
hivyo anaamini bajaji walizozitoa zitawabeba watu wote wenye vyama na wasio
na vyama hivyo ni vyema wakatumia bajaji hizo vyema ili ziweze kuwapatia
viwanja walivyovihitaji.

“Ndugu zangu mlisema mnahitaji viwanja au kauli
kwa tasisi za fedha ili muweze kukopeshwa fedha kwakuwa hamna dhamana sasa
hizi bajaji kumi zikawe ni dhamana kwenu ili sasa muweze kufanya kazi na
ziwe dhamana kwenu ili muweze kuongeza bajaji nyingine ili sasa vile
viwanja mulivyoomba muvipate kwa kutumia bajaji hizi”

Polepole alisema kuwa kwa hamasa aliyoiona na
ari ya vijana wa mkoa wa Iringa anaamini mateso na machungu waliyoyapata
wanairinga kwa kukosa mwakilishi anayejali na kuishi matatizo ya
wanairinga bungeni yamefika mwisho na 2020 wana Iringa watafanya mapinduzi ya
kishindo.

Alisema kuwa wakati wa kufanya siasa za ujanja ujnanja na
zisizotekelezeka zimefika mwisho na sasa ni wakati wakufanya siasa za
kuishi na kutatuakero za wananchi hivyo wale wote waliofanya siasa ujanjaujanja
wajiandae kukabidhi majimbo waliyoazimwa kwa muda.

Awali akisoma risala ya madereva hao katibu wa
umoja wa madereva bajaji hao Salum Gerald alisema kuwa chama
hicho kimefanikiwa kutoa bajaji 36 zenye thamani ya milioni 280 na
bajaji gari moja kwa vijana hao ambazo wanazitumia kujiingizia kipato cha kila siku
katika Maisha yao

Hata hivyo Gerald alisema kuwa kikundi hicho chenye vijana 800
kinakabiliwa na uhaba wa dhamana na zitaowatesa vijana wengi kupata mikopo
na kupata viwanja vilivyo pimwa hivyo ombi lao ni kuomba dhamana ya pesa taslimu au dhamana kwenye tasisi za fedha ili
weweze kukopesheka kwa urahisi zaidi.

Kwa upande wake mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa mjini Said
Rubeya alisema kuwa chama hicho kimejipanga kusikiliza na kutatua kero kwa
wanachi wake hivyo kwakuwa wamefanikiwa kuwafikia watu wote hasa wale wa ngazi ya chini wanaamini uchaguzi unaokuja watashinda kwa
kishindo

Rubeya alimuhakikishia katibu wa uenezi
na itikadi wa chama cha Mapinduzi (CCM) taifa Hamprey Polepole kuwa
anafanya kazi vizuri na vijana wote wa manispaa ya Iringa na wanakiunga mkono
cha cha mapinduzi kwa asilimia kubwa.

“Saizi Iringa shwari na tumejipanga kuhakikisha
tunakomboa jimbo hili ambalo lipo upinzani hivyo vijana hawa ndio nguzo ya
chama chetu” alisema Rubeya